Muimbaji kutoka Tanzania mwenye makazi nchini ujerumani (Godlove Muliahela) anayefanya muziki wa Gospel huko, amekua akitumia
njia nyingi kuakikisha muziki wetu unapenya kwenye nchi ya Ujerumani...Ebu nipe asilimia zako katika kionjo hiki cha Haleluya alicho wafundisha waimbaji wa band yake wenye asili ya kijerumani.

0 comments: