Kutoka kwenye Instagram ya muimbaji Felis Mubibya anamshukuru Mungu kwa kumaliza masomo yake ya Sound Engineering hatua ya diploma....Felis kwa miaka 2
alikua akichukua masomo hayo nchini Marekani yakiwa yamejumuisha Sound Engineering na music production.
Hiko ndicho cheti alicho pokea mdau wangu.
0 comments: