Majira ya saa sita machana katika kanisa la Full Gospel lililopo Mwenge karibu na Mlimani City ambapo ndiko makao makuu ya kanisa hilo kulikua na shamra shamra kubwa za ugeni uliotoka katika
Makanisa ya FGBF yaliyopo katika mikoa ya Tanzania.Zaidi ya magari 40 kutoka kona ya dar yalikua na kazi ya kubeba wageni hao na kuwapeleka makao makuu ya Kanisa hilo ambapo wali pokelewa na washirika wa FGBF dar.
Mdau wangu hizo ni shamra shamra za ufunguzi wa sherehe hizo mpaka tarehe 2 mwezi huu ambapo kilele cha miaka 25 ya Full Gospel inatarijia kua tarehe 9 August.
0 comments: