J blessing ni miongoni mwa directors wa kubwa Kenya mwenye huwezo mkubwa aliyefanya video nyingi za waimbaji wa Gospel Kenya na hapa Tanzania akiwemo Christina Shusho.Siku ya jana akizungumza na unclejimmytemu.com kwa njia ya WhatsApp J blessing
amesema amekwenda kumalizia masomo yake ya (Cinematography which i had studying a few years ago) masomo hayo yatamchuka mwezi mmoja kisha kurudi Kenya mwezi wa 9 mwaka huu.
Pia nilitaka kujua kuhusu kampuni yake kama itaendelea kufanya kazi...,J blessing alisemakua kampuni itafanya kazi kama kawaida hivyo hakuna kitakacho aribika.Zifatazo ni picha alizopiga akiwa uwanja wa ndege wa Kenya jana.
J Blessing na Mkewe
Hapo chini ni video ya Christina Shusho aliyotengeneza mwaka jana NATAKA NIMJUE.
0 comments: