Tamasha kubwa la Kuabudu live with saxophone ambalo lilifanyika mkoani Arusha wiki iliyopita likiwa limeandaliwa na mtumishi wa Mungu Mise Anael ambaye hutumia chombo cha saxophone au wengi uita mdomo wa bata....limefana sana katika ukumbi wa kanisa la Zion City Churc.Baadhi ya vikundi vilivyo pamba event
hiyo ni Kingdom kwaya,The worshipers Voice of triumph,Alive band toka Moshi,The moon jazz pamoja na Mtbc waliunda jumla ya mas yenye watu 150.
Pamoja na kufanyika kwa event hiyo kulitokea vikwazo vingi vilivyopelekea kusifanyike kwa tamasha hilo lakini ashukuliwe Mungu wa mbinguni alihusika kwa sehemu kubwa....Event hii ilikua ifanyike saa 9 alasili ilibadilika na kufanyika asubuhi hadi saa tisa jioni.Ifatayo hapo chini ni barua ya zuio la tamasha kutoka serikalini.
Hii ni barua ya pili ya kuruhusu kufanyika kwa tamasha baada ya malumbano ya muda mrefu kufanyika
0 comments: