Kutoka kiwanda cha video nchini Marekani nchini ya director Alex....yupo kwenye utengenezaji wa albam mpya ya video ya kwake Milca Kakete.Unaambiwa kwa sasa Milca yupo
location akifanya video kwaajili ya kutambulisha ujio wa albam yake mpya itakayokua na nyimbo kumi.Mdau wangu zifatazo hapo chini ni uchukuaji wa video hizo zikiongozwa na mtu wangu wa karibu...director Alex.
0 comments: