Oliver muimbaji kutoka kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti siku ya jana alifanya uzinduzi wa album yake akishirikiana na mumewe Israel Mujumba amabye ni mwimbaji na mpigaji wa kwaya ya Kijitonyama.
Uzinduzi ulianza katika ibada
ya kwanza na kuendelea ibada ya pili na
kuhitimishwa wakati wa tamasha kubwa majira ya saa 8 mchana ambalo mgeni rasmi alikuwa meya wa manispaa ya Ilala bwana Jerry Slaa.Twende sawa na matukio ya picha mdau wangu.
Upendo Nkone akienda sawa na Blogger Mwemezi.
Kama kawaida Br Joshua a.k.a sauti kiwango akifanya yake jukwaani.
Hakika wametokelezea...Mwake.
Wadau wangu wa karibu.
Marikia Olivar.
Wadada waliotoa support kwa Oliver
0 comments: