Kuelekea kwenye sherehe za miaka 25 la kanisa la (
FULL
GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP ) linaloongozwa na Askofu Kakobe leo tarehe
20 july 2014 taswira ya njee ya kanisa hilo limepambwa na bendera zenye muonekano wa miaka 25 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo....kwa mujibu wa chanzo cha habari cha ndani ya kanisa hilo linategemea kua na shamra shamra za miaka hiyo kuanzia 2 August-9 August.Endelea kufatila unclejimmytemu.com kwa habari zaidi Mdau wangu.
0 comments: