99.3 ni mitabendi ya kituo cha Praise Power fm Dar es
salaam,alisikika Masanja Mkandamizaji akijibu swali alililo ulizwa juu ya yeye
kuoa….alisema kua
maandalizi yapo njiani “Ana mwamini Mungu huu mwaka
hauzami,alisema pale kitandani tutalala wawili na katika kitu animekimisi
nafikiri ni ile kamba ya kuanikia nguo nyumbani,itakuwa hata inanilaumu,haina
hata nguo mchanganyiko.Inapendeza unapita pale nyumbani kwetu unaona pale
tumeanika kasuruali,kanga,sketi.Natamani ile kamba yangu ya nguo ifanye vitu
mchanganyiko,lakini ninamwamini Mungu,mwaka huu mwishoni mwishoni ukipita
nyumba utakuta kamba ina mchanganyiko wa nguo”aliongeza.
0 comments: