Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama yenye maskani yake Dar wameanza shooting ya album mpya jina (kapuni)....kwa mujibu wa chanzo cha habari cha
ndani kwaya hiyo ipo mkoani Arusha eneo la Moshono likifanya recording mdau wangu.Tazama picha 7 za utengenezaji wa video recording nchini ya kampuni ya Gtv.
Hayaaaa Stand by........
0 comments: