Gazuko ni kijana mwana harakati wa muziki wa Gospel Hip hop na ni miongoni mwa wasanii wa muziki
wa injili wanaoiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye Tuzo za Africa Gospel Music
Awards kwa kifupi zinajulikana kama (AGMA) ambapo kwa hapa Tanzania
mwaka huu
wameingia waimbaji kama Rose Mhando,Christina Shusho pamoja na Gazuko...
Gazuko ameomba watanzania na wasio watanzania waweze kumpigia kura kwa wingi ili aweze kuchukua tuzo hiyo ambayo kwake ni ndoto yake kuipata.
Gazuko ameomba watanzania na wasio watanzania waweze kumpigia kura kwa wingi ili aweze kuchukua tuzo hiyo ambayo kwake ni ndoto yake kuipata.
Gazuko kwenye tuzo hizo yupo kwenye category ya Afro Rap
Artiste Of The Year ndani ya category hiyo kuna ushindani wa wana hip hop 15
kutoka nchi mbali mbali za Africa na Ulaya hivyo Gazuko anaomba kura yako
ili aweze kutimiza ndoto yake na pia kuliletea Taifa letu heshima.
Jjinsi ya kupiga kura ingia kwenye website ya
http://www.africagospelawards.com/vote.html alafu nenda mpaka kwenye category
ya AFRO RAP ARTISTE OF THE YEAR utaliona jina la Gazuko (Tanzania) hapo utaweza
kumpigia kura kwa kuweka nukta nyuma ya jina lake na ukimaliza unatelemka hadi
mwisho wa category unabonyeza neno "VOTE" na kwa kufanya hivyo
utakuwa umewezesha Gazuko kujipatia ushindi Mdau wangu.
0 comments: