Mdau wangu wa karibu napenda kukupatia taarifa ya kitabu kipya kitakachokupa maarifa ya ufahamu wako na mbinu za kujiongeza kielimu,kiroho,na kumcha Mungu.Kitabu hiki kina
kurasa 95 na gharama yake ni sh 5,000/= kikiwa kinazungumzia kanuni zifatazo
1)Kuzaa,Kustawi na Kuongezeka
2)Taarifa,Maarifa,Ufahamu na Hekima.
3)Maono,Malengo,Mipango na Mikakati.
4)Mamlaka na Nguvu.
Pata nakala yako ili ujiongeze maarifa na ndugu JAMES KALEKWA kwa simu namba 0754-917764.
0 comments: