Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Tanzania Assemblies of God
(TAG) akiwa
na Askofu Mkuu wa TAG Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka
78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo Julai
13, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa tuzo na Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies
of God (TAG) Dkt Barnabas Weston Mtokambali wakati wa kilele cha Sherehe za
Miaka 78 ya kanisa hilo katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya leo
Julai 13,
ASKOFU mkuu wa Kanisa la
Tanzania Assemblies of God (TAG) Dk. Barnabas Mtokambali akichangia Damu
ASKOFU mkuu wa Kanisa la
Tanzania Assemblies of God (TAG) Dk. Barnabas Mtokambali akipimwa Damu
Makamu Askofu Mkuu, Dk.
Mhiche akipimwa damu kabla ya kutoa
0 comments: