Zaidi ya watu 50 wameokoka katika mkutano wa Injili uliofanyika CCC kariakoo zanzibar ambao waliungana na waumini wengine na kufanya watu 62 kubatizwa katika bahari ya Hindi siku ya Jumatatu tarehe 30/09/2013.Katika mkutano huo watu walifunguliwa na mapepo na miujiza mbalimbali ilitokea ikiwapo kiziwa kuanza kusikia baada ya kuwa katika hali hiyo kwa muda wa miaka mitano
Askofu Dickson Kaganga akiendesha maombi wakati wa mkutano |
Askofu Kaganga akiongea na kiziwi alipeata miujiza ya kuanza usikia baada ya miaka mitano |
Waumini wakiwa kwenye maombi wakati wa mkutano |
0 comments: