Nelly Kaisi.
Sio kila neno unaweza kulisema mbele ya watu kuhusiana na mke wako mpezi au mpenzi wako.John Lisu leo amesema maneno 49 akiyapeleka kwa mke wake.Ni maneno mazuri yenye kuongeza kachumbari ya upendo
ndani ya nyumba na kuonyesha hisia ya wazi yupo mtu anaye husika na maisha yako katika kazi yako.
0 comments: