J Blessing
J Blessing akiwa kikazi zaidi.
Director anayefanya vizuri nchini Kenya J Blessing ambaye amefanya video nyingi na zenye ubora mkubwa leo blog inampa big up kwani mpaka sasa toka ametengeneza video ya Christina Shusho 'Nataka Nimjue' yapata views 43,939 waliotazama video hiyo hapo chini.
0 comments: