Mdau wangu Victor Aron mzee wa migebuka hizi hapa picha zake zingine akiwa kwenye shooting ya Albam yake ya 2x2=4.Victor Aron akifanya maojiano namii
kupitia kipindi cha Chomoza amesema haya ni mapinduzi mapya kuelekea kwenye mabadiliko ya video za Christian.Kwa mengi zaidi mdau wangu usikose kutizama Chomoza ya tarehe 13/10/2013 Clouds TV.
Hii picha nimeipenda mdau wangu.Sijui kwako
Huzee mwisho Chalize.
0 comments: