Mchezaji wa kundi la Faith akionyesha Praise dance inavyochezwa.
Watu mbalimbali kutoka Washington DC walijitokeza kutoa love ya nguvu kwa muimbaji Faith aliyefanya uzindunzi wa albam yake siku ya jana.Uzinduzi ulifanyika katika kitongoji cha Maryland katika hoteli ya Hampton Inn College Park,katika uzinduzi huo uliofanyika J/mosi na J/pili Chakula pamoja na vinywaji vilitolewa bule bila malipo yoyote.Hizi hapa picha za tukio zima la Dada Faith.
Askofu Laurent Magike kutoka (Tanzania) wa pili kutoka kulia akifatilia ratiba ya mwanadada Faith Destiny
Producer wa Faith Printze Ngosso akiimba kwa hisia katika uzinduzi huo..
Faith akiwa na wachezaji wake akiimba wimbo wa by faith
Fay akiwa na mwimbaji mwenzake Malaika Ngosso.
0 comments: