John Lisu akifanya kweli siku ya leo mdau wangu.
Ma-Mc wa Event kushoto Godwin Gondwe na Samuel Sasali wakieleza historia ya John Lisu
John Lisu akitoka mbiooo....kuelekea jukwaani.
Muimbaji wa muziki wa injili John Lisu siku ya leo ameweka tena historia baada ya kufanya live DVD katika ukumbi wa City Christian Upanga..Event hii imekua ya haina yake kwani watu kutoka kona mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania walifika kutoa support ya nguvu kwa John Lisu.Mdau wangu hizi ni picha baadhi kati ya picha nilizo kukusanyia.
Johson Bomby akienda sawa siku ya leo
Paul Clement akifanya kweli siku ya leo
Neema Kwaya walifunika mbayaa!!
Yuko mahali hapa...Yesu.
Hapana ni baada ya John Lisu kuwasili ukumbini
John Lisu akiwa na mkewe.
Watu nyomiii!!
Hapa ni kitu cha mwendo,hapana chezea John Lisu.
Walipendeza sanaaaaa!!
Uwepo wa Bwana ukishuka huwezi kujizuia.Mc Godwin Gondwe akibubujika machozi
Picha zaidi zinakuja mdau wangu
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete