Godlove Muliahela ni muimbaji wa muziki wa injili kutoka Tanzania aishiye nchini Germany
.Kwa sasa ana miaka kumi akiwa anafanya kazi ya muziki wa injili huko.Godlove amerecord wimbo mmoja unaofanya vizuri kupitia vituo vya Germany unaojulikana HAKUNA MUNGU KAMA WEWE.Tazama video hiyo hapo chini mdau wangu.

Waimbaji wake anaofanya nao kazi kwenye band yake Germany.
Abarikiwe na Bwana.
ReplyDeleteGreat things GODLOVE
ReplyDelete