Masanja Mkandanizaji yuko Marekani kwa ziara ya mwezi mzima kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Masanja Silas Mbise.Kama unayoona hapo kwenye picha wapo mbele ya
ukumbi maarufu wa Staples Center.
Katika pitapita zake huko alikutana na msanii wa muziki wa kizazi kipya Omari Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz ambaye yupo huko kwa shughuli za kimuziki
0 comments: