Sunday, September 22, 2013

TAMASHA LA KWAYA ZA UINJILISTI NA UAMSHO JIMBO LA KASIKAZINI LAFANYIKA JANA MDAU WANGU.

By Jimmy  |  9:40 AM No comments

 Kushoto Modest Mogan,Uncle Jimmy,Abwene Michael.

 Kila mwaka hufanyika tamasha la kwaya za uinjilisti na uamsho kwa lengo lakukutanisha kwaya zote za kkkt mahali pamoja kusifu na kumuabudu Mungu.Mwaka huu kulikua na thimu kwa kwaya zote kuimba nyimbo za kulitakia taifa la Tanzania amani na kupinga ulipuaji wa makanisa.Tamasha lilipambwa na kwaya zipatazo ishirini kutoka kila kona ya dar es salamu ambapo kila kwaya ilipokua ikipanda inaimba nyimbo mbili kisha kupisha nyingine.Ukiacha hilo kulitolewa zawadi maalumu kwa baadhi ya viongozi wa kwanza waliopata maono haya na kuanzisha jambo hili ambalo naamini limekua baraka kwakila aliyefika siku ya jana.
Wadau mbalimbali wa muziki wa injili walikuwepo kuonyeswha love kwakila aliyefika siku ya jana.Mdau wangu zitizame picha kadha za event hiyo.
Kwaya ya uinjilisti Mwenge 
 Huyu kijana ni mlemavu wa miguu lakini alifanya kweli kila mtu alipiga kelele kwa vocal alizokua akitoa.Hatariii!!
 Nimemkubali nitakua na matumizi naye soon kwenye Chomoza ya Cloudstv.
 Mapacha wa wili wa Chomoza ya Clouds tv.

  Picha 4 mdau wangu ni kwaya ya Kijitonyama wenye love na Chomoza ya Clouds tv.One love Kijitonyama



 Mwili aujengwi kwa chuma mdau wangu.Chakula kinausika

Kwaya ya Mwabwepande ilitoa staili ya peke yake wakati ikiimba.Zitizame picha 4 hapo chini mdau wangu.




 Vikundi vya kwaya mbali mbali.Kitu nyomiii!!

Mdau wangu zipo kwaya zangu tatu nilizo vutiwa nazo ikiwemo kwaya ya Amkeni Kinondoni picha 2 hizo hapo chini.Kwaya ya Msasani na kwaya ya Kijitonyama.

 Hapa walipiga kitu cha charanga weka mbali!!

Baada ya kwaya kuimba kwa muda ilifika wakati wakutoa zawadi kwa viongozi wa kwanza waliopata wazo hili la kukutanisha kwaya kwa pamoja,zawadi zilitolewa na Mchungaji Bonifasi Kombo.





Sikiliza nikuambie mdau wangu,kwaya ya Kijitonyama ni nomaa hawa jamaa wanaimba hatari.Picha kumi za kwao wakifanya kweli siku ya jana mdau wangu.

 Michael Piniel akipapasa vidole kwenye kinanda
 Camer man wangu wa ukweli Aron akiwa kikazi na Chomoza ya Clouds tv.
 Jacob Mwaipaja akifanya kweli kwenye rythm.

 Modest Mogan mutu yenye miraba mi-nne.Huyu jamaa sijui sauti ameipa nini hatarii!!
 Kushoto Blogger Ambwene Michael na Mc Foma Foma waki watizama vijana wa Kijitonyama
 Allen Mwaipaja akisema moja juu kwa Yesu.


Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP