Monday, September 23, 2013

MDAU WANGU HAPANA KUKOSA LIVE DVD YA KWAKE JOHN LISU TARAHE 6 OCTOBA CCC UPANGA.

By Jimmy  |  3:56 PM No comments

John Lisu anategemea kufanya Project II ya live recoding inayojulikana kama "UKO HAPA" baada ya project ya kwanza ya jehova yu hai kufanya vizuri.Leo majira ya mchana John Lisu amezungumza na vyombo vya habari kueleza jinsi ambavyo live dvd itakua na maandalizi yamefikia wapi.John Lisu alisema kua tamasha litafanyika ndani ya ukumbi wa City Christian (CCC) Upanga tarehe 6 Octoba 2013,kuanzia saa 8 mpaka saa 2 usiku.
Event Manager wa John Lisu (kulia) Prosper Mwakitalima akieleza jambo kwa wandishi wa habari.
John Lisu
  
Tamasha litasindikizwa na waimbaji nguli kama Christina Shusho,Neema Gospel Choir,Paul Clement,Pastor Safari,Johnson na Timothy Kaberia toka Kenya.Kama kawaida uchakavu wetu getini ni sh 10,000 wakubwa,Watoto sh 3,000,Viti maalum sh 20,000 pamoja na zawadi ya CD ya uko hapa itatolewa kwa atakaye nunua tiketi hii.
Tiketi za tamasha hilo zinapatika sehemu zifatazo.
Mwenge-Tarakea duka la Kanda.
Kinondoni-DPC.
Mlimanicity-Silverspoon Restaurant.
Kariakoo-Mbogo Shop.
 
Mwisho kabisa usafiri wa mabasi utakuwepo kutoka postar mpya kwenda ukumbini kuanzia saa saba na nusu mchana kwa bei ya kawaida.

MAWASILIANO ZAIDI.
0713 240 397
0713 905 118
0713 883 797

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP