Kupitia ukurasa wa facebook muimbaji wa muziki wa injili David Robert amepost albam walio fanya miaka 12 iliyopita akiwa yeye Godwin Gondwe pamoja na Gama Daniel Mwasumbi.Kwa mujibu wa David Robert anasema huo ni ujio mpya wa Return of the yahwe music mission ambapo kwa sasa wako studio wakifanya albamu ya pamoja itakayo vuta hisia za watu mbalimbali kwani muda tangu walipo achana kutokana na majukumu ya kimaisha.Stay tune mdau wangu kwa ujio mkali wa vichwa hivi vitatu vilivyo fanya kweli miaka hiyo wakiwa mabachela.
Picha hiyo hapo chini ni maoni ya watu mbali mbali waki kumbuka ukali wa albamu hii iliyo pewa jina la 'BABA'.Yapata miaka 12 imepita tangau albam hii ilipotoka na kusambazwa na GMC
0 comments: