Mara chache sana mdau wangu unaweza kuona behind the scene za waimbaji wa Gospel Tanzania.Kwa mara ya kwanza tazama Exclusive behind the scene ya utengenezaji wa video ya Flora Mbasha 'Yesu nakutamani'.Wimbo wa video hii uko kwenye albamu ya Fanya Njia Bwana ambapo shooting ya videos za nyimbo zote za albam hii imefanyika katika katika nchi tatu tofauti...nikimaanisha Tanzania, Kenya na Uganda...Kabla haujauliza, videos za albamu hii zimegharimu bei gani? wacha nikujibu, VIDEOS ZA ALBAM HII NI KIASI CHA MILIONI KUMI ZA KITANZANIA CASH...ENJOY MPENDWA!
0 comments: