Jana Chomoza ya Clouds TV tulitembelea kambi ya mazoezi ya John Lisu iliyopo DPC Kinondoni kujionea mazoezi yanavyokwenda na wamejipangaje kwa ujumla kuelekea kwenye tukio la kihistoria siku ya tarehe 6/10/2013 kuanzia saa 8 mpaka saa 2 usiku ukumbi wa City Christian Upanga.
John Lisu na kati ya Mikocheni.
0 comments: