Mdau wangu Kijitonyama Evangelical Choir litakua sio jina geni kwako.Hii ni kwaya iliyotamba na mpaka sasa bado wanafanya kweli kwenye muziki wa Gospel Tanzania.Kama utakumbuka nyimbo zao zilizowapa umaarufu mkubwa hasa kwenye sherehe mbalimbali kama Hakuna Mungu kama wewe,Simba wa Yuda,Hakuna mwanaume kama Yesu na Ndani ya Safina.Kwa mara ya kwanza kupitia unclejimmytemu.blogspot.com tazama video ya wimbo wao mpya (Kwa Neema Twaokolewa) ukiwa kwenye mahadhi ya rumba.Enjoy Mpendwa!
wimbo mzuri kwa kweli MUNGU ni mkuu,hongereni uinjilisti
ReplyDeletek'nyama