Ambwene Michael akimkabidhi tuzo Christina Shusho.
Christina Shusho leo kupitia CHOMOZA ya Clouds TV ameeleza mengi kuhusiana na kazi yake ya muziki wa injili lakini pia ameeleza sababu za yeye kuacha kufanya video za bongo na kukimbilia nchini Kenya. Sababu kubwa zilizomopekleka nchini Kenya ni ubora wa ma-director na ubora wa vifaa walivyokuwa navyo wakenya.Christina Shusho anasema pia kwa sasa ni bora waimbaji wa muziki injili wakafunguka macho kuacha dhana ya kufanya video za bei ndogo pasipo kuangalia quality ya kazi zao.Pia ameeleza sababu za yeye kuamua kunyoa nywele.kwa mengi zaidi tukutane kwenye CHOMIOZA ya CloudsTV saa kumi na mbili jioni hadi saa moja usiku( 1800-1900hrs) kila siku ya jumapili.
Kushoto Blogger,mtangazaji,Msanii,Uncle Jimmy,Christina Shusho,Ambwene Michael.
Camer mana wangu wa ukweli Aboubakary Malipula katika pozi la picha na Christina Shusho
.Blogger Ambwene Michael akiwa na Shusho
She is such n Angel.So pretty....dear much love
ReplyDelete