Isikilize nyimbo mpya ya kwake Angel Bernard akiwa amefanya mahazi ya sweetreggae katika studio za Mujwahuki inc huku producer wa nguvu Innocent ndiye aliye tengeneza nyimbo hii.Angel Bernard anasema yupo comfortable sana katika kufanya mziki wa Zouk,blues na sweetreggae.Angel Bernard anategemea kurelease album yake mwezi wa kumi na moja mwaka huu.
Exclusive bonge moja la ngoma "Need You To Rain"
Exclusive bonge moja la ngoma "Need You To Rain"
AISEE HUU WIMBO NI ZAIDI YA NYIMBO MUNGU WANGU UMETUPA VIPAJI VINGI SANA HATA DUNIANI HONGERA ANGEL
ReplyDeleteMdada mkali hata Cecile WA duniani haoni ndani hongera angel Bernard.
ReplyDelete