Muimbaji kutoka Uganda "Hawa Bale" amekuwa akifanya vizuri muziki wa injili uliopeleke kumtangaza njee ya mipaka ya Uganda na nchii za njee.Ubora wa kazi zake ndio ulio mfanya kufunga safari hadi nchi ya Kenya kwa director wa video J.blessing ambaye amejipatia jina kubwa nchini Kenya kutokana na kazi nzuri za video anazo fanya.J.blessing ni director aliyeingia kwenye tuzo za MWAFAKA AWARDS zinazo fanyika kenya mwezi ujao akiwa katika Category ya Video Director of the year.
Hawa Bale.
Tizama video hii iliyo tengenezwa na mkono wa J.blessing mdau wangu.
0 comments: