MC wa event Samuel Sasali mtu aliye nyimwa urefu akapewa mdomo wakuongea alifanya kweli mdau wangu.
Nimiaka kadha imepita toka mtumishi wa Mungu Reinhard Bonke alipofanya mkutano katika nchi ya Tanzania.Siku ya jana katika kanisa la Magomeni Mikumi TAG kulifanyika uzinduzi rasmi wa shamrasharma za ujio wa mtumishai wa Mungu Bonke.Katika kamati ya maandali ya kuhamasisha vijana kutambua wajibu wao katika kumtangaza kristo na kuachana na madawa ya kulevya Dr.Huruma Nkone ndiye alikua msemaji katika hilo.
Katika kunogesha mnogesho wa event hiyo waimbaji mbalimbali walikuwepo,Upendo Nkone,Miriam Mauki,Glorious worship team,Praise and worship kutoka VCCT na vikundi vingine.
Haleluyaaaaaa.......
Dr.Huruma Nkone akifungua Event
Kijana wa nguvu Johson Bomby alikamua ipasavyo.
Kitu nyomiiiii
Preise ya Vcct ikifanya kweli mtu wangu.
Asikuambie mtu huyu ndugu alinogesha vibaya na vuvuzela.
0 comments: