Gloria Muliro muimbaji wa Gospel kenya anayeng'ara vizuri kupitia video zake mpya (2) alizo achia kwa wakati mmoja miezi mitatu iliyopita kwenye vituo vya tv Kenya.
Willy Paul kijana anayefanya kweli kwenye mziki wa Gospel Kenya.
Presenter wa kipindi kikubwa cha Gospel cha Citizen Tv Joyce Omondi alikuwepo.
Judge Ian kutoka project fame kama kawaida yake alikwenda sawa.
0 comments: