Tuesday, August 6, 2013

TULIPOKWENDA ZANZIBAR NA CHOMOZA YA CLOUDS TV MDAU WANGU WA KARIBU.

By Jimmy  |  7:57 PM No comments

Mdau wa Chomoza ya Clouds tv hii ni safari tuliyo kwenda Zanzibar kama sehemu ya kipindi chetu kukupa habari mbalimbali za muziki wa injili pamoja na event za Gospel.Safari hii ilianza majira ya asubuhi ambapo timu yangu nzima ya Chomoza tulifika Zanzibar majira ya saa tatu tukiwa tumetoka Dar saa 1 kamili asubuhi. 
Hii ni taswira ya viboti vidogo vinavyo paki pembeni ya bandari ya Zanzibar.Utumiwa na watalii kubebwa pale ambapo wanaitaji kwenda sehemu.

Askofu Dickson Kaganga wa kanisa la TAG Zanzibar lililo chomwa moto na waislamu ndiko tulikofikia na kufanya maojiano naye katika Chomoza ya Clouds tv kila siku ya J/pili saa 12:00 hadi saa 1:00 usiku
Akitupa maelezo ya kina jinsi kanisa lilivyo chomwa moto na hali ikoje kwa sasa.
Kushoto ni Gilman Mlaki,Mussa Shilla,Uncle Jimmy na Samuel Sasali kwa makini tukisikiliza maelezo ya Askofu.
Hapa ni sehemu ya ibada siku ya J/pili.Kwa sasa kanisa linafikia watu 800/1000 kwa ibada ya siku.
Baada ya kumaliza maojiano na Askofu Kaganga tulifunga safari kwa mtayarishaji wa mziki wa injili Musa Makonela.Ni mtayarishaji pekee mwenye jina kubwa na Zanzibar anayefanya mziki wa Gospel kama sehemu ya maisha yake.
Nikifanya Link ya Chomoza ya Clouds tv mdau wangu.
Camer man wangu wa ukweli Khuhani Haron akifanya kweli wakati nikimuoji produz Musa Makonela.
Kama kawa kama dawa katikati ni Atupulike Kibibi aliye tupokea kama mwenyeji wetu Zanzibar.Utunzwee Mamii Atupulike Kibibi.
The end






Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP