Monday, August 5, 2013

ASKOFU KAKOBE AFANYA MAZISHI YA MTOTO WAKE LEO JETI KIWALANI.

By Jimmy  |  7:03 PM 1 comment

Askofu Zachary kakobe wa Full Gospel Bible Fellowship leo amefanya ibada ya Maziko ya Mch:Michael Mbwambo wa Kanisa la Christian Love Ministries lililoko Kiwalani jiji Dar.Ibada ya maziko ya Mch Michael yali uliudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo Maaskofu wa majimbo matano ya kanisa la FGBF,Viongozi wa Serikali,Viongozi wa kata pamoja na watu maarufu.Mchungaji Michael Mbwambo miaka kadhaa alikua akitumika chini ya Askofu Kakobe kabla ya kuanza huduma ya Ministries.

Katika ibada yake Askofu Kakobe alitamka "Mch Michael Mbwambo ni mwanaye aliye muona toka siku ya kwanza alipo mpokea kristo.Ndani yake alijawa na wito mkubwa wakumtumika Mungu ndiyo mana hata sasa hatuna budu kufurahi na kumshukuru mungu kwa safari kubwa katika maisha yake ya kuichapa injili kwa vijana na wazee.
 Ezekiel Kakobe akiwa na mdogo wake wakiwahi kufungua begi za Camer kwajili ya matukio.
Askofu Kakobe akiingia.
Maaskofu wa majimbo (fgbf) wakiingia.

 Kwaya ya Huzima Katika Neno (fgbf) wakisifu.


Mwili wa marehemu ukiingia.
 Askofu Kakobe na Mkewe waliingia ndani kuwasalimu wafiwa.
 Askofu Kakobe akimpa pole mke wa Mch Michael Mbwambo.

 Ibada ya Maziko ikaanza.Mchungaji Cassian akimkaribisha Askofu Kakobe



 Bwana ametoa na Bwana ametwaa.....tutakukumbuka daima na milele.Ulikuwa mpole mwenye hekima na maarifa daima tutakukumbuka Mch.Michael Mbwambo.Maziko ya nyumba ya mwisho ya Mch Michael yamefanyika makaburi ya Kinondoni.
 Mtoto wa kwanza wa Mch Mbwambo akiambatana na Mama yake mzazi kuaga mwili wa Marehemu Michael Mbwabo.








Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

1 comment:

  1. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe

    festus s.k. ruhoya
    managing director
    tanzania gospel blog
    http://tanzaniagospel.blogspot.com/

    ReplyDelete

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP