Napenda kuchukua fursa hii kuomba radhi wadau mbalilmbali wa Blog hii kwa ukimya uliyo jitokeza tangu nilipo post Story ya mwisho ya "Angel Bernard" hii ni kutokana na majukumu yaliyokua yamenikabili pamoja na safari nyingi za Chomoza ya Clouds tv.Pili napenda kutoa shukrani kwa wale wote waliokua wakiniimiza kuakikisha Blog inarudi katika mstari kuakikisha mastory na matukio mbalimbali unayapata mdau wangu.
Kwa sasa timu ya Uncle Jimmy imejipanga vizuri kwenda sawa na matukio yote ya burudani za Gospel pamoja na Event mbalimbali.Kwa hisani ya Chomoza ya Clouds tv napenda kukukaribisha mdau wangu kuanza kufatilia habari za Gospel kupitia www.unclejimmytemu.blogspot.com

0 comments: