Mchekeshaji Prezzo Fredy Chavala a.k.a The King nilipiga naye story wiki iliyopita mdau wangu akaniambia now amekuja na staili mpya ya uvaaji kwa kua watu wengi wamezoea kumuona akiwa kwenye vazi la suti.Ujio wa staili hiii ni sambamba na ujio wa event zake tatu.
August 17atakuwa akifanya SINGER'S BREAKFAST kwa mara ya tano pale VCC,na hii ni bure kwa waimbaji wote na washika dau wa injili Tanzania.
Tarehe 13 October King Chavala anatarajia kuzindua mfululizo mpya (series) wa matamsha maalum ya kukuza vipaji vya wasichana LADIES TALENTS BATTLE.Chavala alisema the battle against the devil and battle for the Glory of God's Kingdom.Tamsha hili litahusisha wasichana wenye vipaji mbalimbali kama Acapela,Dance,Comed hip hop,Drama,pamoja na kupiga vyombo mbalimbali vaya muziki na vipaji vinginevyo vya asili.
Wasichana wanaruhusiwa kujisajili kama kundi au mmoja mmoja.Kampeni ya mwaka huu 1)Tunza ubinti wako 2)Marufuku ngono 3)Uzuri sio kujichubua.
Pia Dec 1/ 2013 atakua akifanya tamsha kubwa la Ucheshi 'LAUGH AGAIN CONCERT' huu ni mfulizo wa matamasha makubwa ya ucheshi tanzania,lakini pia atakua akizindua msimu wa pili (Season 2 ) na kusherekea miaka 2 ya Laugh Again.
Mtangazaji wa Sibuka tv Saraphina akiwa na King Chavala
0 comments: