Siku chache kupitia mtandao wa kijamii nchini Kenya "Ulizalink" ulitoa taarifa ya muimbaji Marion Shako yuko mbioni kutoa video ya wimbo wake mpya MILELE.Leo majira ya asubuhi Marion Shako aliiweka hewani video hiyo ikiwa directed by J.Blessing.
Kwa hisani ya Chomoza ya Clouds tv mdau wangu itizame video hii hapo chini.
0 comments: