Habari ya mjini kwa sasa ni Barber shop ya vijana wa Living Water Makuti Kawe.Kupitia maono ya mtumishi wa Mungu Mtume Ndege juu ya vijana wake wa praise and worship,amewafungulia mradi wa Saloon utakao wawezesha kupata fedha kama sehemu ya mradi wao.
Hii ilikuwa siku ya uzinduzi wa saloon hii ya kisasa iliyoko maeneo ya Kawe kwa Mwl Nyerere kwajili ya vijana ,wazee na wajanja wote wa mjini wanaopenda kuonekana na muonekano mzuri wa kuvutia.
Mama Lilian Ndegi akigonga glass.
Nikitaka kujua kwa nini amewafungulia vijana wake mradi huu kama sehemu ya waho kujipatia kipatao
Kiongozi wa Praise ya Makuti Kawe Louise akinieleza yake.
Muonekano wa mbele kuingia Salon.
Muonekano muhimu pale kati kwenye Chomoza ya Clouds tv.
Kama kawa.
0 comments: