Sifa Voices ni kundi alilo litengeneza Reuben Kigame kwa miaka mingi toka aanze kazi yake ya uimbaji.Kundi hili la SIFA VOICES limejipatia umaarufu mkubwa nchini kenya kupelekea kupata mialiko mingi sehemu mbalimbali duniani.Tarehe 26/6/2013 wanatarajiwa kuwepo nchini Marekani kwa siku kadha.
Here is a music video called Enda Nasi by Sifa Voices.
0 comments: