Wenzetu mziki ni sehemu ya mafanikio yao.Sio kitu cha ajabu wao kumshukuru mungu kwa mafanikio wanayopata kupitia kazi ya mziki,Donnie Mc Clurkin Praise and worship singer wiki iliyopita aliweza kuonyesha gari yake mpya aliyo nunu kama sehemu ya vitu anavyo penda kwenye maisha yake.Aina ya gari hiyo ni STICK SHIFT SPORTS CARS.
Hivi ndivyo linavyo onekana.
Hii ni Video ya sehemu ya majaribio ya gari hii alipo nunua.
Amazing Car !
ReplyDeleteI think it's a never ending battle of making your cars better and also trying to be better yourself.
Thanks
Henry Jordan
Hydraulic Seal Kits