Mwana harakati wakutetea mziki wa Gospel hip hop alimaarufu Dp/Douglas anakualika kwenye tamasha la kusifu na kuabudu J/pili hii ya tarehe 16.6.2013.Mahali ni Dorcus Christian Ministry kunduchi karibu na Jordan sec school.Muda saa nane (8) mchana kiingilio bure.
Waimbaji Flora Mbasha,Bashando,Edson Mwasabite,Stara Thomas,Addo November,na Mwanamapinduzi.Wote mnakaribishwa
0 comments: