Wednesday, June 19, 2013

DICKSON GRIPER AWASHIRIKISHA WASANII 8 KWENYE ALBAM MOJA 'SAUTI ZASIFA'

By Jimmy  |  8:00 AM No comments

 Sikuwahi kupata time ya kukutana na muimbaji Dickson Griper zaidi ya kuchati kwenye facebook.Lakini tarehe 7/5/2013 nikiwa kwa swahiba yangu Samuel sasali alikuja na albam yenye nyimbo 9 nakisha kuniambia Uncle sikiliza hii albam.Haikuchukua muda mrefu yani ndani ya dakika 7 nilikuwa nimesha anza kuhisi  vinyweleo vya mikononi vimesimama ndipo Samuel akanihabarisha hii ni albam ya Dickson aliyowashirikisha Bahati Bukuku,Victor Aron,Modest Mogan,Glory Etozia,Kevin Webya,Aron boto,na Angel Bernard.Yapo mengi aliyo eleza Dickson kuhusu albam hii ambayo tarehe 25/6/2013 itakua ikipatikana makuti kawe kwa Mtume Onesmo Ndegi.Lakini waweza kuwasiliana naye kwa simu namba 0717-101101 upate yako kama sehemu ya kutoa support kwa kazi za nyumbani.
 Dickson Griper
Usikose kutizama Chomoza ya Clouds J/pili hii kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 1:00 usiku kwa habari zahidi. 

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP