Mkutano mkubwa kufanyika Toronto Canada chini ya Bishop Zackary Kakobe.Siku ya jana alikua akizungumza na vyombo vya habari kueleza jinsi anavyo jisikia furaha kufika na jinsi alivyo jipanga kuhubiri kwa siku mbili June20 7:00Pm at Tennis Canada Grounds,Sunday June23 7:00Pm at Toronto on M3N 3A6.Tizama Video ya Press Conference baada ya kufika Toronto Canada.
Picha za mapokezi ya Bishop Zackary Kakobe baada ya kufika Toronto Canada.
Bishop Zackary Kakobe akizungumza na vyombo vya habari.
0 comments: