Wednesday, June 19, 2013

CHRISTINA SHUSHO ANAITAJI KURA YAKO TENA KUIBUKA KIDEDEA KWENYE TUZO ZA AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS.

By Jimmy  |  8:00 AM No comments

 Hizi ni tuzo za Groove Awards za Kenya.Kwenye picha zinaonekana mbili lakini alipata tuzo tatu mwaka 2010,2011,na 2013.Tuzo ya 2010 kwa bahati mbaya mtoto wake aliivunja.
 Hili ni kabati la ukutani aliloweka tuzo.

Chomoza ya Clouds tv jana ilifunga safari hadi nyumbani kwa Christina Shusho kama sehemu yakutaka kujua mchakato wa yeye kuingia kwenye tuzo za Afica Gospel Music Awards umekaaje.Kwani Kwa Mara Ya Kwanza Tanzania imeingiza wanamuziki Wawili katika Kinyanganyiro Cha Africa Gospel Music Awards.Kwa Miaka Miwili Mfululizo Mwanamuziki Christina Shusho pekee ndiye aliyeingia Katika Kinyang'anyiro hicho ambapo mara zote 2 hakuweza kufanya Vizuri Mwaka huu Christina Shusho Pamoja na Martha Mwaipaja Wameingia Katika Kinyang'anyiro hicho.Shusho anaomba kura yako Mtanzania ili kumfanikisha kutwa tuzo hiyo.
 Upande wa kushoto ni tuzo ya kwanza alishinda mwaka 2011 ya Africa gospel music awards inayo fatia alipewa na kituo cha tv cha KTN .
 Jamani huu ni ushahidi tosha Christina shusho anafanya vizuri njee ya nchi pamoja na ulaya.Support yako tena mtanzania kumpigia kura na kuibuka mshindi tena katika kinyang'anyiro alichoingia cha Africa Gospel Music Awards.

Namna ya Kupiga Kura
1. Click hapa...http://www.africagospelawards.com/nominations.html

2. Kisha Bonyeza Kitufe Chenye neno "Vote".

3. Utaingiza Email address yako.

4. Kisha utafuata maelekezo.


 Music ni sehemu ya maisha yake hii ni sehemu ya yeye ujipa mazoezi na burudani pale anapotoka studio na exclusive song.
 Kama bado ni tomaso basi amini hapa 2013 amechukua tena Artist of the year Tanzania Groove Awards Kenya.Kwa story kamili usikose kutizama show ya Chomoza ya Clouds tv J/pili saa 12 jioni hadi saa 1 usiku kwa habari kamili.
Kabla ya kazi lazima tumualike roho mtakatifu kama dereva.

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP