Wakati flani kama wewe ni muimbaji ni vizuri kutengeneza mazingira ya wewe kufika mipaka ya nchi za jirani na nje ya nchi.Christina Shusho ni muimbaji aliye tengeneza mazingira mazuri nchini Kenya.Hii ni video ya wimbo NAPOKEA ya kwake Janet Otieno akimshirikisha Christina Shusho,asikuambie mtu ni bonge moja la rumba ya kweli.Kazi kwako my friend kuifanya yako nyumbani .
0 comments: