Marafiki zangu ndugu pamoja na wadau wa Blog hii napenda kukupa mualiko huu wa kituo cha Hocet kinacho tunza watoto yatima na wale waliotoka katika mazingira magumu.Hapo kabla kilikua kinapata ufadhili kutoka kwa wazungu but sasa wazungu wamekataa kutoa udhamini kisa wanataka watoto wamkatae MUNGU,jina la YESU lisitajwe kituoni hapo ndipo wao kama wazungu wataendelea kudhamini kituo hicho.
Marafiki hawa wazungu kiukweli naweza sema ni wafuasi wa kundi lile la freemasons.
Je ni sahihi MUNGU akanwe kwa sababu tu yakupata msaada wa chakula?Je watanzania hatuwezi kulea hawa watoto hadi wazungu wafanye?Chukua nafasi yako kama mdau wa Blog hii tufanye kitu na kuweka alama katika kituo hiki kwa utukufu wa Mungu Baba.
0 comments: