Kwa muda mchache toka Chomoza imeanza tumepata lawama kwamba hatuchezi nyimbo za Gospel za hapa nyumbani, wengi wanadai kwamba tunapenda kupiga nyimbo za Kenya.Ukweli ni kwamba nyimbo za hapa nyumbani sio zote zenye Quality nzuri kuonekana kwenye Tv.Kupitia Mtandao wa kenya "Ulizalinks" umekua ukitoa tathimini ya Video saba kila baada ya miezi kadha ambapo ukilinganisha na video za kwetu ni chache sana zinazo weza kufanana nazakwao.
Iko haja kwa waimbaji wa mziki wa Tanzania kuangalia swala la Quality nasio bora kazi au bora video za bei rahisi ni wazi tunakoendea kunaitaji waimbaji kujipanga vizuri kuakikisha kazi ya Mungu haiwi ya kulipuliwa lipuliwa.Kupitia kwenye mtandao wa Ulizalinks hii ni sehemu ya walicho sema.
Creativity plays a major role in directing of a video shoot. For us we
don’t think their is any gospel song that is better than any other
rather we compare the quality of the videos in regards to creativity and
different scenes.
Hizi ni Video 7 zilizo chaguliwa this week.
Zitizame kisha linganisha na video za kwetu Tanzania my friends.
0 comments: