Habari zilizoifikia Blog zinaripoti kwamba watu ambao idadi yao haijaweza kujulikana mara moja wamejeruhiwa
vibaya na wengine kuhofiwa kupoteza maisha kutokana na mlipuko wa kitu
kinachoaminika kuwa ni bomu lilokuwa limetegwa
ndani ya kanisa Katholiki ambalo liko katika eneo la Olasiti jijini Arusha.
Picha na Ado November akiwa Arusha.
Picha na Ado November akiwa Arusha.
Blog itazidi kukuhabarisha zaidi kadiri habari zitakavyoendelea kupatikana.
0 comments: