Friday, May 3, 2013

KUTOKA KENYA MUIMBAJI GLORIA MULIRO KUFANYA LAUNCH YA ALBUM YAKE MPYA.

By Jimmy  |  10:39 AM No comments

Kwa wenzetu Kenya nitofauti na sisi watanzani tuliojawa na roho flani hasa kwa waimbaji kutotoa ushirikiano mzuri pale muimbaji flani anapo fanya uzinduzi au kazi ya jamii.Gloria Muliro ni muimbaji anaye fanya vizuri kwa sasa Kenya tarehe 5may2013 NPC VALLEYROAD atalaunch album yake MSAIDIZI akisindikizwa na waimbaji 26 wakiwemo Daddy Owen,Jimmy Gait,Mercymasika,Willy Paul,Emmy Kosgei,Mercy Wairegi na Anastacia Mukabwa. Kupitia ukurasa wa facebook hiki ndicho alicho andika kuhusu ujio wa album yake mpya Msaidizi.
Katika uzinduzi huu kila mtu ana hamu kubwa kuona kolabo walilofanya Emmy Kosgei na Gloria Muliro (Ololo) ukiwa kwenye lugha tatu Kiganda,Kingereza na Kiswahili.Kwa hisani ya Chomoza sikiliza kolabo lao hapa chini.
 Ololo

Author: Jimmy

Hello, I am Author, decode to know more: In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. In commodo magna nisl, ac porta turpis blandit quis. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

E-mail Newsletter

Sign up now to receive breaking news and to hear what's new with us.

Recent Articles

© 2014 Uncle Jimmy | Distributed By My Blogger Themes | Created By BloggerTheme9
TOP