Zachee Ama Orji.
Muigizaji mkongwe Zachee Ama Oriji maarufu kama Zack Orji ameingia rasmi katika orodha ya wasanii nyota wa filamu ambao wamejitoa rasmi kumtumikia Mungu na kuingia katika huduma kikamilifu.
Kulingana na vyazo vyetu vya habari,Orji amechaguliwa kuwa mwinjilisti wa kudumu na Askofu Emma Isong wa Christian Central Chapel International {CCCI}.Na pia imesemekana kuwa Zack Orji ataendelea namna yake ya uhubiri ambayo itamfungulia njia za mara kwa mara kulihubiri neno la Mungu.
0 comments: